ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, November 19, 2013

Breaking Newsssss, Matola kocha mpya msaidizi wa Simba Sc

Nahodha wa zamani wa Simba Sc na mchezaji wa Super Sports Selemani Matola, ameteuliwa kushika wadhifa wa kocha msaidizi wa timu ya Simba.

Mkufunzi huyo ambae pia ni kocha wa Simba B, ameteuliwa Leo baada ya kusimamishwa kazi kwa Jamhuri Kihwelo Julio aliyekuwepo kwenye nafasi hiyo!

No comments:

Post a Comment