ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, November 15, 2013

Twaha kurejea rasmi mzunguko wa pili

Kinda lenye kasi ya aina yake Msimbazi Ibrahim Twaha Messi, anatarajia kurudi rasmi dimbani mwezi January

Kiungo hicho cha Simba Sc kilichosajiliwa Toka Coastal Union ya Tanga aliumia katika mazoezi ya timu hiyo, yaliyokuwa yakifanyika Bamba Beach.
 Kurejea kwa mchezaji huyo kutapunguza idadi ya majeruhi waliokuwa Msimbazi kwa sasa, ambao ni Miraji Adam na Abdallah Seseme ambao Hali zao zinaridhisha!

No comments:

Post a Comment