ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, November 14, 2013

PHIRI ARUDI KWENYE ANGA ZA SIMBA

Kocha wa zamani wa Simba Sc Patrick Phiri huenda akanasa kwenye anga za Simba.

Kocha huyo raia wa Zambia, anawindwa vilivyo na Uongozi wa Simba ili kuchukua mikoba ya Abdallah Kivaden anayetegemewa kuvunjiwa mkataba wake na Klabu hiyo.

Kibaden ambaye ameinoa Simba Sc kwa nusu msimu tu, anaobekana ameshindwa kukidhi vigezo vya falsafa ya Simba, ambayo hivi sasa inacheza soka lisilokuwa na ladha, Huku ikionekana na ikiwa na difensi mbovu katika mechi ilizocheza za ligi kuu Tanzania bara.

Raia huyo wa Zambia, Phiri anakumbukwa na Timu hiyo kwa kuiwezesha kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara pasipo kupoteza mechi yoyote!

No comments:

Post a Comment