ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, November 14, 2013

Picha ya utata ya usajili wa Juma Kaseja kwenda Yanga

Katika picha hii kwa mbaali anaonekana mmiliki wa Sapphire Hotel

Pia Abdallah Bin Kleb na Juma Kaseja
Ikumbukwe kuwa mmiliki wa Saphire ni mjumbe katika kamati Fulani Simba Sc

Kumbuka pia Juma Kaseja alipokuwa Simba aliwahi kutuhumiwa kuihujumu Simba yetu

Angalia chain hii

Bin Kleb~ Saphire ~ Kaseja

Je umegundua nini???

Simba NGUVU moja!

No comments:

Post a Comment