ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, November 23, 2013

Rage aingia mitini

Aliyekuwa mwenyekiti wa Simba Sc kabla ya kusimamishwa Bw Ismail Aden Rage, ameingia mitini baada ya kutangaza kutokea Leo katika kikao na waandishi wa habari.

Rage ambaye pia ni mbunge wa Tabora, Jana alitangaza kukutana na waandishi wa habari, lakini ghafla Leo ametengua maamuzi hayo na kudai kuwa atakutana nao kesho.

Kiongozi huyo asiyehitajika na Klabu ya Simba, alizuiwa na kamati ya utendaji ya Klabu hiyo kuwa mwenyekiti, baada ya kuonekana kufanya mambo vile anavyotaka yeye mwenyewe.

No comments:

Post a Comment