ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, November 22, 2013

Wanachama wachache watokea kumpokea Rage

Katika Hali ya kushangaza, wanachama wachache Jana wamejitokeza kumpokea Mwenyekiti asiyekubalika wa Simba Sc.

Majira ya saa 6 za mchana, Issa Masharubu ambae ni mmoja wa makomando wa Simba , alipitia katika Baadhi ya matawi ya jijini Dar Es salaam , lengo ni kupata watu atakaoweza kuongozana na katika uwanja mkuu wa ndege wa Jijini Dar Es Salaam

Saa1.30 usiku, Bw Rage alitua Toka kwenye ndege ambapo moja kwa moja aliendelea kujitangaza kuwa yeye ni mwenyekiti wa Simba Sc, Mwenyekiti huyo ambaye katika Muda wa Uongozi wake anapitia misukosuko mingi, Amesema kuwa Leo majira ya saa 7.00 mchana ataongea na waandishi wa habari katika jengo la Klabu ya a Simba.

No comments:

Post a Comment