ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, June 8, 2014

GEBO PETER AFARIKI DUNIA

Mchezaji wa zamani wa Simba Sc na timu ya taifa ya Tanzania Gabriel Peter maarufu kama Gebo Peter amefariki dunia.

Gebo amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi hali iliyopelekea kulazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

No comments:

Post a Comment