ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, June 8, 2014

RAGE;NI NDOTO TU NDIO ZITAKAZOMFANYA KAPOMBE ACHEZEE AZAM

Mwenyekiti wa Simba Sc Ismail Aden Rage, amesema kuwa bila euro 43000 basi mchezaji huyo kuchezea Azam ni ndoto!

Rage ametoa kauli hiyo akiongea na mtandao huu moja kwa moja kutoka Dodoma.

Mwenyekiti huyo ametamka bayana kuwa wanajua kuwa Kapombe ameuzwa kwa euro 107000 hivyo ni lazima Simba ilipwe asilimia 40 ya pesa hizo!!

No comments:

Post a Comment