ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, September 7, 2014

BUTTER BULLETS KUTHIBITISHA MAKALI YA SIMBA SC JUMATANO

Kikosi cha Simba SC, kinatarajiwa kucheza mechi nyingine dhidi ya Butter Bullets ya Zimbabwe tayari kabisa kujiwinda na ligi kuu Tanzania bara.

Mechi hiyo itakayopigwa saa 11.00 ya siku ya jumatano,inatarajiwa kuwa safi na ya kuvutia huku ikishuhudiwa urejeo wa icon ya Simba SC Amissi Tambwe.

Simba SC jana ilifanya mauaji ya kutisha katika uwanja wa taifa baada ya kutoa adhabu kali ya kipigo cha goli 3-0 dhidi ya Gormahia.

Shukrani za kipekee kwa mshambuliaji mpya wa Simba SC Paul Kiongela ambaye alifunga goli mbili toka mguuni mwake huku Ramadhan Singano Messi akifunga goli moja.

No comments:

Post a Comment