ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, September 7, 2014

PHIRI KUPELEKA JESHI LAKE KUSINI

Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa Afrika mashariki na kati CECAFA Simba SC, kinatarajiwa kuwavaa NDANDA FC ya mtwara jumamosi ya wiki ijayo.
Jeshi hilo la THE REDS ambalo jana liliwavurumisha Gormahia ya Kenya,litaondoka ijumaa hii tayari kabisa kwa mchezo huo." Ndio tunaenda kucheza mtwara,lengo ni kupata mechi ngumu ambazo ni muhimu" alithibitisha mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya mashindano.


No comments:

Post a Comment