ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, September 3, 2014

GORMAHIA KUIJARIBU SIMBA JUMAMOSI

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuivaa timu ya Gormahia ya nchini Kenya katika mechi ya kirafiki itakayochezwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Akiongea na Sps blog, mjumbe wa kamati ya mashindano ya Simba SC Mohamed Nassor,amesema wameamua kucheza na Gormahia badala ya Mtibwa kwa kuwa Phiri anahitaji mechi tatu za kimataifa."ni kweli tutacheza na Gormahia jumamosi, lengo ni kuandaa kikosi cha ubingwa kilicho bora " aliongeza.

No comments:

Post a Comment