ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, September 3, 2014

KIONGELA AANZA KAZI RASMI SIMBA SC

Mshambuliaji mpya wa Simba SC Paul Kiongela,ameanza rasmi mazoezi tayari kabisa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara.

Kiongela maarufu kama Mode, amewasili akiwa kamili na kusisitiza atauthibitishia umma kuwa Simba SC haikukosea kumsajili.

'Ndio nimekuja kuanza kazi rasmi,,watu watarajie makubwa" aliongeza mshambuliaji huyo aliyejengeka kimazoezi.

No comments:

Post a Comment