ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, September 22, 2014

OKWI AUKUBALI UWEZO WA AMISSI TAMBWE

Mshambuliaji wa timu ya Simba SC Emanuel Okwi amekiri kuwa mwenzake Amissi Tambwe ni mfungaji halisi kwa sasa hapa Tanzania.

Akiongea na SPS, mchezaji huyo mwenye kasi uwanjani amemtabiria kuwa huenda Tambwe akarudi na kuwa mfungaji bora tena msimu huu.
Kauli hiyo imekuja dakika kadhaa baada ya mchezo wa kuwania taji la ligi kuu Tanzania bara kati ya simba sc dhidi ya Coastal Union ya Tanga ulioisha kwa Kikosi hicho cha wekundu wa msimbazi kulazimishwa sare ya goli 2-2

No comments:

Post a Comment