ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, September 28, 2014

SPS YAZINDUA RASMI TAWI LAKE

Zaidi ya wanachama 70 wa Simba Platinum Supporters,leo tarehe 28/9/2014 wameandika historia ndani ya Simba SC baada ya kuzindua tawi lao linalokwenda kwa jina la Simba Platinum Supporters.

Akiongea katika uzinduzi huo, mjumbe wa kamati  ya utendaji collins frich alifurahi uzinduzi wa tawi hilo

No comments:

Post a Comment