ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, January 8, 2015

OKWI KUTUA LEO ZANZIBAR

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba Sc Emanuel Okwi, leo anatarajiwa kujiunga na wenzake visiwani Zanzibar baada Ya likizo Ya muda mfupi.


Okwi ambaye anatua Zanzibar akitokea Kwao Uganda, ataungana na Waganda wenzake watatu ambao ni Danny Sserukuma, Juuko Murshid, Na Simon Sserukuma ambao walishajiunga na wenzao Siku kadhaa zilizopita.

No comments:

Post a Comment