ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, January 16, 2015

SIMBA KUIVAA NDANDA LEO

Kikosi cha Simba Sc leo kinatarajiwa kuivaa timu Ya Ndanda Fc ya Mtwara katika muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara.


Kikosi hicho ambacho kimetoka kwenye mfululizo wa Sare, kinnahitaji ushindi wa aina yoyote ili kiweze kurejea kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment